Header Ads

HOT NEWS: Mkubwa Na Wanawe Kuwa Na Kundi Jipya La Taarab {Moyo Modern Taarab}


Baada ya kufanikiwa kwa Yamoto Band, Mh,Said Fella ameamua kuendeleza kituo chake cha Mkubwa na wanawe kwa kutengeneza kundi la taarab liitwalo Moyo Modern Taarab, Kwa kumpa uongozaji wa hiyo band Mgeni Kisoda, Sasa wapo ndani ya studio kutengeneza albamu yao mpya.....

No comments:

Powered by Blogger.