Header Ads

Mkubwa Na Wanawe Kutambulisha Kundi Jipya. {Salam Tmk}


Mbali na uongozi wa Mkubwa na Wanawe kuwa kwenye wakati mgumu sababu ya kampeni. Mh. Said Fella {Mkubwa Fella} na Menaja wake Yusuph Chambusso {Chambusso Chambusso akiwemo na producer wao Awadh Salim {Shirko}wamechagua wasanii wanane katika kundi lao Mkubwa Na Wanawe na kulitengeneza kundi jipya liitwalo Salam_Tmk kuanzia kulia: Zubeir,Osama,Fetty,Star Boy,Abu Ado,Star Mapozi,Sadam na Abdul Podo.Ikiwemo na kazi yao  jikoni iitwayo Nafsi iliyotengenezwa na Prod.Shirko na kideo kikatengenezwa na Dir.Pablo.

No comments:

Powered by Blogger.