Header Ads

Picha za Show Yamoto Band in UK London


Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo. Picha zaidi Ingia www.harakatizabongo.com

No comments:

Powered by Blogger.