Header Ads

Hot News: Mbali Na Chege Jana Kusherekea Siku Yake Ya Kuzaliwa Na Pia Karibuni Atatambulisha Kazi Yake Mpya Na Runtown.

11875509_559049367579362_963056612_n


Tunamtakia kila la heri kwa hatua nyingine ya maisha Bw.Said{Chege} pia karibuni atatambulisha kazi yake mpya ambayo iliofanyika South Africa kwa producer Dj.Maphorisa ambayo alioshirikisha wasanii wawili wa Nigeria ambaye ni Runtown na wa South Africa anaitwa Xelimpilo wa Uhuru .........

No comments:

Powered by Blogger.