Header Ads

PICHA; YOTE YALIYOJIRI MAISHA CLUB KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YETU MPYA "NISEME"

Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa uzinduzi wa Video yetu mpya "Niseme" ambao ulifanyika pale Maisha Club, Asanteni sana mashabiki wetu ambao mlijitokeza jana, mlionyesha upendo wa dhati kabisa na kufurahi pamoja , Kazi mpya ndo hiyo tumetoa , video imefanywa na Pablo na Audio ni producer wetu wa siku zote Shirko, Tunashukuru kwa kutusapoti na tunaomba muendelee kutupa sapoti.














































No comments:

Powered by Blogger.