Header Ads

PICHA: MAKAMUZI YALIVYOKUWA ESCAPE ONE JUMAPILI HII NA YAMOTO BAND

Siku ya jumapili ikiwa ni sikukuu ya Idd vijana wa mkubwa na wanawe walitumbuiza ndani ya Escape One na kukata kiu ya mashaki wao kwa kupiga vibao vya moto kutoka kwa Yamoto Band zao la Mkubwa na wanawe chini ya uongozi wa Saidi Fella, Kama ulishindwa kufika siku hiyo unaweza kuona picha za matukio yote yaliyojiri

No comments:

Powered by Blogger.