Header Ads

Picha Yamoto Band wakiwa Interview katika Radio leo Mtwara

 Yamoto Band leo wako Mtwara na wanapiga show katika ukumbi wa Makonde Beach uliopa mjini hapa, kwa kiingilio cha 5,000 tu, kisha asubuhi kurejea dar tayari kwa Show kubwa kabisa pale Dar Live Mbagala kwa kiingilio cha 7,000 tu, jumapili hii ya tarehe 21 Usikose










No comments:

Powered by Blogger.