Header Ads

Yamoto Band + Mapacha Wa Tatu, Yaliyojili Masai Club Usiku wa Kuamkia Leo.


Mkubwa na Wanawe pamoja na Mapacha watatu Usiku wa Kuamkia leo walipiga Zinga la Show ndani ya Masai Club kinondono, Hizi ni picha ya baadhi ya yote yaliyojiri usiku ule.
Barnaba nae alikuwepo, Huku Fella pamoja na Shirko
John Sambila na Yusuph Chambuso Meneja wa Mkubwa na Wanawe
DJ K-Man na John Sambila ndani ya Masai Club
Yamoto Band katika Picha ya Pamoja.
Team TipTop Connection nawao walikuwepo, Makame pamoja na Sony Wega

No comments:

Powered by Blogger.