Header Ads

Mashabiki walivyopagawa na Yamoto ndani ya Mzalendo Pub

 Jumamosi ya mwisho wa mwezi wa tano, Yamoto Band kutoka mkubwa na wanawe waliporomosha burunani na kukonga nyoyo za mashabiki wao kwa kibao cha Yamoto na nyingine nyingi ndani ya Mzalendo Pub.
Kiongozi wa Kundi la Mkubwa na wanawe, Aslay akitoa Burudani kwa wapenzi wa muziki na mashabiki ndani ya Mzalendo Pub.
 Enock Bella akiimba huku Maromboso na Aslay wakiyarudi kwa Mbwembwe na Madaha ili kutoa burudani.
 Aslay akiongea na Mashabiki wake kwa Lugha ya Kisanii,
 Mwana akaona sio mbaya kupata kumbukumbu na Enock Bella jamaa mwenye Base akiwa anaimba.
 Mkubwa Fella akifatilia Show Nzima ya vijana wake akiwa na Producer na Msanii Shirko, Huku kwenye 1 na 2 ni DJ Makey akifanya yake.
 Picha moja ya Pozi baada ya Show kuisha.
 Team saka Tobo pia ilikuwepo, yaani kamati imekamilika, Hapo ni Suka, Fella, Bon Love na Tale.

No comments:

Powered by Blogger.