Header Ads

YAMOTO BAND KUWASHA MOTO DAR LIVE JUMAPILI HII, MZEE YUSUPH, CHEGE NA TEMBA NA TWANGA PEPETA NAO WATAKUWEPO

Yamoto Band kutoka Mkubwa na wanawe Jumapili ya Tarehe 21 ndani ya ukumbi wa dar Live kwa kiingilio cha 7,000 tu na kupata burudani nyingine kutoka kwa Mzee yusuph, Chege na Temba pamoja na Twanga pepeta Usikose siku hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.