Header Ads

Kidogo tulichopata Tumegawana na wenzetu

 Jumapili iliyopita Mkubwa na wanawe Youth Centre waliwatambulisha rasmi Yamoto Band ambao ni zao kutoka Mkubwa na wanawe na kwa sasa wanafanya vizuri sana katika muziki.
Show ilifana na kuhudhuliwa na watu wngi sana wakiwa kina mama na wale watu wazima kabisa, kwa kutambua mchango wa mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi siku hiyo TMK wanaume pamJumapili iliyopita Mkubwa na wanawe Youth Centre waliwatambulisha rasmi Yamoto Band oja na Mkubwa na wanawe wameamua kutembelea Temeke Hospital katika wod ya watotot na kutoa msaada wa vifaa, vyakula na vitu mbalimbali ambavyo watotot wanavihitaji.
Kiongozi wa Yamoto Band Aslay ameseme kuwa wameamua kufanya hivyo kwani hata wao ni wagonjwa watarajiwa na ni vema kugawana kidogo na wezako hata mungu atakuongezea.
 "Tumeamua kuanza na watoto maana mimi ni mzazi na hata mke wangu anajifunguliaga hapa pia mimi nilikua mtoto na katika show yetu pengine wazazi waliopo hapa walipenda kufika lakini kutokana na kuuguza wakashindwa kufika, na hii hatutofanya wilaya hii tu tukipata kingine kidogo basi tutapeleka na kwingine na hii isiwe sisi tumefunga milango wajitokeze na wengine kusaidia" Alisema Saidi Fella mkurugenzi wa Mkubwa na wanawe
          Mh Temba akitowa Zawadi kwa Mtoto amabeyae amelazwa katika Hosptal ya Temeke,

No comments:

Powered by Blogger.