Header Ads

Picha zote za show iliyofanyika Visiwa vya Zanzibar ndani ya Golf Hall

jumamosi siku ya IDDI TANO team nzima ya mkubwa na wanawe walidondoka Visiwa vya Zanziba na kuangusha Burudi kali iliyokata Kiu ya Mashabiki wao, Yamoto Band walichapa mikwaju yao yote inayotamba na kufanya Vizuri kama Yamoto,Nitajuta,Happy Birthday na nyingine nyingi ambazo hujawahi kuzisikia katika Radio.Show hiyo iliandaliwa na radio kubwa kabisa visiwani humo Bomba FM

No comments:

Powered by Blogger.