Header Ads

Karibuni Maisha Clabu Mashabiki na Wadau wotee wa Yamoto Band

Karibuni sana Mashabiki wetu wote na watu wote wenye mapenzi ya Yamoto Band jumapili hii ndani ya Maisha Club Tutapiga bonge moja ya Show na Kuachia Video ya wimbo wetu mpya Niseme, Usikoseee ni kwakiingilio cha Elfu Kumi tu.

No comments:

Powered by Blogger.