Header Ads

Shaa aingia mkataba na Kituo Chetu cha Mkubwa na wanawe

Msanii Sara Kaisi Marufu kwa jina la Shaa ameingia Mkataba na Kikundi cha Mkubwa na Wanawe ambacho Maskani yake yako Temeke na Kinasimamiwa na Saidi Fella kama Mkurugezi pamoja Na Husani Chambuso Kama Maneja, Laki pia wakipata Sapoti kutoka kwa Babu Tale, Nilipata na Fasi ya Kuzungumza na Saidi Fella Juu ya Mkataba walioingia na Msanii Shaa Nae alikuwa na haya ya kusema "MKUBWA KIKUBWA NI MSANII SARA KAISY A.K.A SHAA TUMEWEKA NAE MKATABA KWENYE KITUO CHETU CHA MKUBWA NA WANAWE. NIMEONELEA KUNA KITU MASHABIKI WANA KIKOSA KWA SHAA NDIO NIMEONGEA NA MASTAR J MSIMAMIZI WAKE WA DHAMAN ATUKABIDHI NDIMANA TUMEKUBALIANA MKATABA WA MIEZI SITA, NA KWAKUA MKATABA MKIA WA MBUZI MWEZI HUU TUNATOA NGOMA SUGUA GAGA NA KUREKOD ATALEKOD TUNAPOTAKA SISI VIONGOZI WA MKUBWA NA WANAWE"Hivyo ndivyo Fella alisema

No comments:

Powered by Blogger.