Header Ads

Picha Utengenezwaji wa Video Mpya Kutoka Mkubwa na Wanawe "Yamoyo" [Photos]

 Kikundi Cha Muziki ambacho Kinawahusisha Vijana Wenye Umri Mdogo wenye Vipaji vya Kuimba na Hata Kucheza Pia [Mkubwa na Wanawe], Hivi karibuni wametengeneza wimbo wao Mpya unaitwa Ya Moyo ambao umefanyika katika studio zao za Viber Rec Temeke chini ya Prod Shirikom...
Na Leo walikuwa wakikamilisha Tukio zima La kichupa cha Wimbo huo na Soon utaiona kupitia Luninga Yako jipange kuwaona Vijana hawa wenye Vipaji na Wanaojituma katika Muziki..Kisha wape support ili wafike Mbali zaidi .

No comments:

Powered by Blogger.