Header Ads

Picha : Futuru Ikulu na Mh Rais katika Msimu huu wa Ramadhani

Aslay akiwa ameshikana mkono na mh Rais na pembeni n Hassani Vocha wa mkubwa na wanawe
 Chege chiguda wa TMK Familly akiwa kashikana mkono na Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani,Ikulu wakati wa Eutari ya Jioni na Mh Rais Ikulu.
 C.E.O wa Mkubwa na Wanawe Ndg. Fela akichukua chakula wakati futuru na Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..

 Chege ,Madee na Nyandu Tuzi wakichukua chakula wakati wa Futuru ikulu msimu huu wa Ramadhani
Chilla na Bab Tale wakichukua Chakula ikulu wakati wa futuru ikulu wakati wa msimu huu wa Ramadhani.

No comments:

Powered by Blogger.