Header Ads

News: Aslay kufanya Video ya "Bado Mdogo" ft Linah wiki hii....

Mwana muziki kutoka Mkubwa na wanawe ASLAY, wiki hii tunatarajia kushoot Video ya wimbo wake Mpya ambao ameshirikiana na Mwanadada kutoka THT Linah, Kama wewe ni shabiki wa Aslay Basi jipange kupokea Video yake wiki hii....

No comments:

Powered by Blogger.