Header Ads

PICHA: YAMOTO BAND LIVE SHOW NDANI YA DAR WEST TABATA


Vijana wa Yamoto Band waikonga mioyo ya mashabiki wao wa Tabata kwa kupiga show kali sana ndani ya Dar West ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu warejee kutoka UK Londoni ambako walikuwa na Ziara.
Hizi ni Picha za Show Nzima iliyofanyika jana Tabata.

PICHA ZOTE NA www.harakatizabongo.com
Kayumba ni Zao kutoka Mkubwa na Wanawe akifungua show kwa kuimba kabla ya Vijana wa Yamoto Band.
Mwanadada Marope kutoka Mkubwa na wanawe akitoa Burudani katika Ukumbi wa Dar west Tabata jana.
Anaitwa Adamu solooo...
Enock Bella Mzee wa sauti Nzitto akifanya yake katika Ukumbi wa Dar west tabata Jana.
Mkubwa Fella akizungumza jambo na Mashabiki wa Yamoto Band Tabata.
Raymond Tiptop akifanya yake katika Ukumbi wa Dar West Tabata jana.
Dulla Yeyo Msanii kutoka Mkubwa na Wanawe akiimba Mchiriku jana Dar west Tabata.
Unarambooooooo.....

ANGALIA PICHA ZAIDI HARAKATI ZA BONGO

No comments:

Powered by Blogger.