Header Ads

PICHA ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO MPYA YA YAMOTO BAND "NITAKUPWELEPWETA"


Vijana wadogo wanaofanya vizuri sana kwa sasa katika Tasnia ya Muziki Yamoto Band wanatarajia kuachia video yao mpya ya Nitakupwelepweta Ijumaa ya Tar 23/1, Video hiyo imefanya na Dir mzoefu kabisa katika game Adamu Juma.

No comments:

Powered by Blogger.