Header Ads

Mhe Mtevu Mbunge wa Temeke awatembelea Mkubwa na Wanawe

Kituo cha Mkubwa na Wanawe Youth Centre Chenyemaskani yake Temeke leo kimeweza kupata Ugeni wa Mhe. Abbas Zuberi Mtemvu, Nbunge wa Temeke ilikujionea Shughuli nzima zinazofanyika katika kituo hicho pamoja na maadhali ya kituo hicho kilichopo Chini ya Usimamizi wa Mkubwa Fella Pamoja na Hassani Chambuso. Manege 
Mbali na kutembelea kituo hicho Mhe. Mtevu ameweza kutoa Msaada wa Dolla 1000 ikiwa ni kwajili ya kufanya Video pamoja na Audio kwa vijana hao wachapakazi wa Mkubwa na wanawe.... 
 Chini ni picha zaidi...

No comments:

Powered by Blogger.