Header Ads

Picha za Show tuliyofanya Mjini songea Usiku wa Jana

Kundi zima la Yamoto Band Jana tulikua katika mji WA Songea na tulipiga Bonge la show katika Club ya Jambo Lee iliyo hapa songea.
Asanteni sana wakazi wa Songea kwa kujitokeza kwa wingi na kufurahi kwa pamoja.

No comments:

Powered by Blogger.