Header Ads

TMK WANAUME FAMILY KUACHIA "TUFURAHI" WIKI HII

Kundi la Muziki wa Bongo Fleva lenye Maskani yake Temeke(TMK), Kwa sasa wako mbioni kuachia Track yao wikii hii ambayo imebeba jina la "TUNAFURAHI" Kazi imefanyika katika studio za Ngoma Rec chini ya Producer Tudi Thomas..

Jipange kupokea kazi hii nzuri kutoka kwa TMK Wanaume ambapo humo ndini ya Jisongi hilo utaisikia sauti ya YP, MH.TEMBA pamoja na CHEGE.

No comments:

Powered by Blogger.