Header Ads

WADAU WAKUBWA WA MUZIKI KUTOKA MAREKANI WATOA ELIMU KWA WASANII WA BONGO

 Creative Arts Development Workshop mkutano mkuu wa maendeleo ya sanaa na wasanii katika Biashara.
Leo July 14 Creative Arts Development workshop inafanyika katika Ukumbi wa B.O.T ikiongozwa na Meneja mkubwa kabisa kutoka America Shaka zulu, Mtagazaji wa Televesion Terrence J na Producer David Banner, wako nchini kutoa mafunzo kwa wasanii wa Music na Movies jinsi ya kuingiza kipato kupitia kazi zao na kujitangaza zaidi katika masoko ya Nje,

Workshop hii imehudhuliwa na wasanii wengi wa muziki pamoja na movie kupata elimu hii kuhusu kazi zao na kujitangaza,

Imeandaliwa na muungano wa wasanii tanzania ikiwa kwa msaada waRais aliyewahaidi Dodoma wakati wa Uzinduzi wa Video maalum ya Muungano wa Tanzania .
Unaweza kuona picha za yote ambayo yanaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa B.O.T
























































No comments:

Powered by Blogger.